TASAF III PRODUCTIVE SOCIAL AND SAFETY NET (PSSN)

TASAF AWAMU YA TATU – MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI


MISSION AND VISION

DIRA NA DHIMA

Objective 

To enable poor households to increase incomes and opportunities while improving consumption.

Madhumuni ya Mpango

Kutoa fursa kwa kaya maskini kuongeza kipato ili kumudu matumizi ndani ya kaya.

 

Vision
To empower the poor households graduate out of poverty and have sustainable social and economic development.

Dira
Kuziwezesha kaya maskini kutoka kwenye umaskini na hatimaye kuwa na maendeleo endelevu ya kiuchumi

 

Mission
To build capacities of key stakeholders involved in poverty reduction initiatives with emphasis on community driven development, accountability, transparency and full participation in social and economic development aspects.

Dhima
Kujenga uwezo wa wadau katika kupunguza umaskini kwa kuzingatia uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii katika kuleta maendeleo

 

Core Values
Core values that guide the organizations’ work include:
1. Respect for communities supported , exercising integrity and accepting responsibility for actions taken and decisions made
2. Accountability to stakeholders as well as those who support TASAF
3. Committed to acting honestly, truthfully, and with integrity in all transactions and dealings
4. Committed to avoiding conflict of interest and to appropriately handling actual or apparent conflicts of interest in our relationships
5. Committed to treating our partners fairly and to treating every individual with dignity and respect
6. Committed to treating our employees with respect, fairness, and good faith and to providing conditions of employment that safeguard their rights and welfare
7. Committed to being a good corporate citizen and to complying with both the spirit and the letter of the laws of the United Republic of Tanzania
8. Committed to acting responsibly towards the communities in which we work and for the benefit of the communities we serve
9. Committed to being responsible, transparent and accountable for all of our actions.

Maadili ya Utekelezaji

1. Kuheshimu walengwa na kuwahudumia kwa uadilifu na kuwajibika kwa hatua na maamuzi yatakayochukuliwa
2. Uwajibikaji kwa wadau wanaoiwezesha TASAF
3. Ukweli, uwazi, uadilifu na umakini katika utendaji kazi
4. Kuzuia na kushughulikia ukinzani wa maslahi utakapojitokeza
5. Kufanya kazi na wadau kwa kuzingatia haki, hadhi na heshima
6. Kuheshimu wafanyakazi na kuwapa mazingira mazuri ya kazi yanayojali maslahi na haki zao
7. Kufanya kazi kwa kuzingatia taratibu za kazi na sheria za nchi
8. Kuhudumia jamii kwa umakini na kujali maslahi yao
9. Kufanya kazi kwa uwazi na uwajibikaji